MSANII wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefunua siri ambayo watu wengi walikuwa hawaijui kwamba enzi za utoto wake alikuwa hapendi wageni wafike nyumbani kwao wakati wa kula kwa sababu alikuwa anaona watawamalizia chakula chao.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda msanii huyo alisema kuwa, alikuwa hapendi kabisa hayo mambo ya wageni kwenda nyumbani kwao wakati wa chakula, kwa kuhofia kuwa watamaliza chakula chao, hali iliyopelekea kupigwa na mama yake kila siku kwa ajili ya tabia yake hiyo mbaya.
"Nakumbuka enzi za utoto wangu nilikuwa sipendi wageni kabisa hasa linapokuja suala la kula, yaani nilikuwa naona kama wakija watatumalizia chakula, hivyo hali hiyo mama yangu alikuwa haipendi, alikuwa ananipiga kila siku, nikikumbuka acha tu kwani nimechapwa sana, hata hivyo sasa nashukuru Mungu hiyo tabia ilikuja kuisha," alisema Shamsa.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...