Leo Novemba 18, Peter na Paul Okoye waliokuwa wakijulikana kama Psquare wanaadhimisha kuzaliwa kwao. Wawili hao wamezaliwa Novemba 18 mwaka 1979 ambapo leo wanasherekea miaka 39 ya uhai wao. Kaka yao mkubwa Jude Okoye ambaye ni Mtendaji maarufu wa muziki alituma picha ikiwaoneesha enzi za utoto wa Peter na Paul kwenye mtandao wa Instagram ikiashiria …
The post Peter na Paul Okoye wamjibu kaka yao, Jude Okoye baada ya kuwatakia heri katika kusherekea siku yao ya kuzaliwa appeared first on Bongo5.com.
Source