Sunday, October 21, 2018

VIDEO: Hassan Mwakinyo hapigiki, amtwanga TKO ‘Bondia wa Dar’ ndani ya sekunde 10

Bondia anayekuja kwa kasi nchini Tanzania, Hassan Mwakinyo kutoka Tanga ameandika historia nyingine nchini baada ya kumtwanga bondia mkongwe, Said Azidu kutoka Dar es Salaam kwa Technical knockout (TKO) kwa sekunde 10 kunako raundi ya kwanza. Pambano hilo lililochezwa jana Jumamosi usiku wilayani Muheza mkoani Tanga, lilihudhuriwa na mamia ya mashabiki wa masumbwi mkoani humo. …

The post VIDEO: Hassan Mwakinyo hapigiki, amtwanga TKO ‘Bondia wa Dar’ ndani ya sekunde 10 appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...