Monday, October 22, 2018

Namshukumu Mungu kwa kuokoa maisha yangu – Mo Dewji

Mfanyabishara Mo Dewji amerudi mtandaoni kwa mara kwanza toka atekwe na watu wasiojulikana na baadae kuachiwa na watekaji hao akiwa salama. Bilionea huyo alitekwa alfajiri ya Oktoba 11 na kumuachia huru usiku wa manane wa Oktoba 20 baada ya msako mkali wa jeshi la polisi. Jumatatu hii Mo ambaye pia ni mwekezaji wa klabu ya …

The post Namshukumu Mungu kwa kuokoa maisha yangu – Mo Dewji appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...