Monday, October 22, 2018

Lema awasili Polisi kuitikia wito

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amewasili kwenye Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Ramadhan Ng’anzi kuitikia wito uliomtaka kufika kwenye ofisi hizo kwaajili ya mahojiano. Kwamujibu wa chombo cha habari cha  Azam, Mbunge huyo aliyekuwa ameambatana na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Elisa Mungure amefika ofisini hapo majira …

The post Lema awasili Polisi kuitikia wito appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...