Friday, November 30, 2018

Young Killer aimwagia sifa Wasafi Festival ‘huu ni ukombozi wa kweli’ (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kulisifu tamasha la Wasafi Festival ambalo limefanyika kwa mara ya kwanza mkoani Mtwara.

The post Young Killer aimwagia sifa Wasafi Festival ‘huu ni ukombozi wa kweli’ (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source

Thursday, November 29, 2018

AJALI: Watu 3 wamefariki na 16 kujeruhiwa


AJALI: Watu 3 wamefariki na 16 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Rungwe Express na gari dogo la abiria katika maeneo ya Iyovi mkoani Morogoro

Kamanda wa Polisi Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema uchunguzi unaendelea kujua chanzo

Basi la Rungwe Express lilikuwa linafanya safari zake kati ya Mbeya na Dar na gari dogo lilikuwa likifanya safari zake kati ya Iringa na Morogoro

Sijawahi Kumdharau Yoyote na Usiogope Kunisogelea- Mkubwa Fela

Sijawahi Kumdharau Yoyote na Usiogope klKunisogelea- Mkubwa Fela
Meneja wa msanii Diamond Platnumz amefunguka mengi kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwashauri vijana sana katika kipindi hiki ambacho amedai ni miaka 20 ya Mkubwa Fela.



Mkubwa fela ambaye pia ni diwani ameongea hayo wakati huu ikiwa ndio tamasha la Wasafi Festival, Mkubwa Fela ameongea haya yafuatayo:- " Sijawahi kumdharau yoyote na usiogope kunisogelea unaweza kupishana na movie MUNGU anasema kama nimetuma mitume yangu kutangaza neno langu na kuna watu wanapinga je mie niwe nani nisipingwe tena nafanya kazi isiyo ya MUNGU pia ukitoa sapoti ukitajwa ujatajwa mwenyeziMUNGU bado yupo nawe mtoaji aya vijana tumieni muda mwingi kutambua vipawa vyenu na kuviendeleza kuliko kukata tamaa #miaka20yamkubwafella#MchezoUsiuchezeeWewe wadau kesho IRINGA Uwanja wa samora".

AY aachia video ya wimbo ‘Safari’ akiwa na King Kiki (Video)

Msanii mkongwe wa muziki, AY wiki hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Safari akiwa amemshirikisha muimbaji mkongwe, King Kiki.

The post AY aachia video ya wimbo ‘Safari’ akiwa na King Kiki (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source

Nay afunguka mazito kupitia project yake ya KaziNiKaziChallange ‘Mama yangu ni mama ntilie’ (+video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ameamua kuanzisha ‘project’ inayoitwa Kazi ni Kazi yenye lengo la kuwasaidia wajasiria mali wadogo ili waweze kujikwamua kiuchumi huku akitoa sababu ya kuipa jina hilo ambalo linaendana na wimbo wake mpya na kudai kuwa mama yake alipitia kwenye biashara ya mama ntilie hali iliyompelekea kuuchagua.

The post Nay afunguka mazito kupitia project yake ya KaziNiKaziChallange ‘Mama yangu ni mama ntilie’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source

Mkubwa Fela atoa ushauri huu kwa vijana “Sijawahi kumdharau mtu yeyote”

Meneja wa msanii Diamond Platnumz amefunguka mengi kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwashauri vijana sana katika kipindi hiki ambacho amedai ni miaka 20 ya Mkubwa Fela. Mkubwa fela ambaye pia ni diwani ameongea hayo wakati huu ikiwa ndio tamasha la Wasafi Festival, Mkubwa Fela ameongea haya yafuatayo:- ” Sijawahi kumdharau yoyote na usiogope kunisogelea unaweza …

The post Mkubwa Fela atoa ushauri huu kwa vijana “Sijawahi kumdharau mtu yeyote” appeared first on Bongo5.com.


Source

Ofisi ya Ardhi na Masijala ya Jiji la Dar Yafungwa


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa ofisi hizo ndio chimbuko la utapeli na ubadhilifu wa ardhi jijini

Leo Novemba 29 amesema jiji hilo halina ardhi, halipangi, halipimi na wala halimilikishi lakini bado hadi sasa wanaendelea kutoa ofa za ardhi zinazoisumbua Wizara yake

Amesema kwa sasa yeyote mwenye ofa yenye muhuri wa jiji la Dar hautatambulika na kuwataka wahusika kwenda Manispaa kuuliza utaratibu mwingine

Ameeleza wakishaingia kwenye mfumo wa kidigitali ofisi za mikoa za ardhi hazitatambulika tena na kuanzia sasa maombi ya ardhi yatatoka wilayani kwenda kwa Kamishna ardhi wa wilaya husika

Aidha, Wafanyakazi katika ofisi zilizofungwa wanapaswa kuripoti kwa Kamishna Ardhi wa Wizara ya Ardhi kwa ajili ya kupangiwa kazi nyingine

Amesisitiza kuwa walionunua viwanja kwenye mradi wa viwanja 20000 Dar na hawajaweka uzio ikifika mwisho wa mwezi Desemba Serikali itavichukua bila fidia

Sabby Angel Kujiunga na CHADEMA

Mwanadada Sabby Angel ameamua kujiingiza katika siasa huku akisema kuwa uamuzi huo ameuchukua baada ya kuona kuwa kuna jamii kubwa inamuhitaji kuwatumia watu hao. Akiongea jana alipokuwa anajiunga rasmi na chama cha upinzani cha CHADEMA , Sabby Angel anasema kuwa amejiunga na chama ichi huku kazi yake kubwa sasa ni kuhamasisha na kuwafumbua wanawake kuhusu haki zao.Akiongea na waandishi wa habari, Sabby alisema “Nimejiunga rasmi na Chadema Nitakuwepo kwenye sector ya BAWACHA(Baraza La Wanawake CHADEMA) na kushiriki kutoa seminars wanavyama wanawake kuhusu Haki za kina mama na kadhalika. Nimejiingiza kwenye siasa Rasmi Nina matarajio ya kupigania Viti maalum huko mbeleni,Kazi za Usanii nitaendelea Nazo Kama kawaida. Pia natokea kwenye Familia ya Wanasiasa kuanzia bibi, wajomba hata mama,japo tuko vyama tofauti” amesema Sabby na kuongeza”I needed a Platform where I can give back to my community Kama kioo cha jamii in a positive manner especially to women and children and Chadema gave me that platform  

The post Sabby Angel Kujiunga na CHADEMA appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source

SANCHEZ MATATANI UNITED,ZIMWI LA MOURINHO LAMVAA

Mshambuliaji wa Chile Alexis Sanchez, 29, anataka sana kuihama Manchester United baada yake kuanza kupuuzwa na meneja Jose Mourinho. (Mirror)

Juventus na Inter Milan wanahusishwa na kutaka kumnunua kiungo wa kati wa Tottenham na Ubelgiji Mousa Dembele, 31, ambaye mkataba wake katika klabu yake ya sasa utafikia kikomo mwisho wa msimu huu. (Calciomercato)


Newcastle wameongeza juhudi zao za kutaka kumnunua kiungo wa kati wa Paraguay anayechezea Atlanta United Miguel Almiron, 24. (Mail)

Bayern Munich wanapanga kuwasilisha ombi la kumnunua mchezaji anayeng'aa sana akichezea timu ya taifa ya England ya vijana wasiozidi miaka 17 Callum Hudson-Odoi, 18 anayechezea Chelsea kwa sasa mwezi Januari. (Sun)

Chanzo:Bbc
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...