Tuesday, October 30, 2018

Nikki Wa Pili Amwaga Povu Zito Kwa Wasanii Wakaa Uchi

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Nikki Wa Pili amewaji juu na kuwatolea povu zito mastaa ambao wameandamwa na skendo ya kuweka picha na video chafu zenye maudhui yasiyo ya kimaadili  kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nikki wa Pili amewachana watu hasa wasanii wanaotafuta kiki kupitia vitu visivyo na maana. View this post on Instagram Watu wa KiKi za Mambo ya Kijinga sasa mshakaribia kumaliza maktaba yenu uchi mshakaa, ngono mshapost, denda mshaliwa, Sasa inaonekana Mambo yatakayo kuwa na Kiki siku za usoni yatakuwa Mambo ya Maana je mmejiandaaa?????? mana Kiki nayo inauteja msije anza kuuguwa mawazo………… A post shared by nikkwapili (@nikkwapili) on Oct 25, 2018 at 11:25pm PDT Amber Rutty, Wema Sepetu na Gigy Money ni baadhi tu ya mastaa ambao hivi sasa wanatengeneza headlines kwa vitendo vyao vya kuachia picha chafu kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi yao wameshachukuliwa hatua za kisheria.

The post Nikki Wa Pili Amwaga Povu Zito Kwa Wasanii Wakaa Uchi appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source

Hamisa Mobetto afanya show yake ya kwanza ya kimataifa Marekani (Video)

Msanii wa muziki na mwanamitindo, Hamisa Mobetto Jumatatu hii amefanya show ya nguvu Houston,Texas Marekani akiwa na mkali wa masauti, Christian Bella. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Madam Hero, aliimba wimbo wake huyo mbele ya mashabiki hao ambao walionekana kufurahishwa namna mrembo huyo alivyokuwa anatambaa na biti.

The post Hamisa Mobetto afanya show yake ya kwanza ya kimataifa Marekani (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source

Tanzania up in key governance index

Tanzania has climbed three positions in the overall rankings of the Mo Ibrahim Index of African Governance (IIAG) to 14th out of 54 African countries in 2018 edition from 17th in 2017.
Source

Pharrell Williams amzuia Rais Trump kutumia wimbo wake wa HAPPY ‘ukiendelea nitakuburuza mahakamani’

Mwanamuziki na Muandaaji wa muziki nchini Marekani, Pharrell Williams amemlima barua Rais wa Taifa hilo, Donald Trump inayomtaka asitumie tena wimbo wake wa ‘HAPPY’ kwenye shughuli zake za kisiasa. Pharrell amechukua maamuzi hayo, baada ya Rais Trump kuutumia wimbo huo Wikiendi iliyopita katika Mkutano wake wa Kisiasa mjini Pittsburgh katika eneo ambalo masaa machache yaliyopita …

The post Pharrell Williams amzuia Rais Trump kutumia wimbo wake wa HAPPY ‘ukiendelea nitakuburuza mahakamani’ appeared first on Bongo5.com.


Source

RC Makonda aibuka na 'List' nyingine Ya Mashoga



Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka kuwa mpaka sasa ametumiwa ujumbe mfupi wa maandishi wenye majina ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja 'mashoga' zaidi ya 100 katika mkoa wake.


Taarifa iliyotolewa na Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es salaam, imesema kuwa mpaka sasa amepokea meseji 5763 zenye majina 100 ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

"Nimepokea meseji zaidi ya 5763 na majina ya mashoga zaidi ya 100, hii inaonyesha wana Dar es salaam hawataki mashoga, naendelea kupokea majina ya mashoga", amesema Makonda.

Jana katika mkutano wake na wanahabari Makonda alisema kuwa wazazi wengi nchini wamekwazika na vitendo vinavyofanywa na vijana mitandaoni ikiwemo kutuma picha zisizo na maadili na kwamba ataendesha zoezi la kuwakamata watu hao katika mkoa wake. "Jambo hili linaendelea kupoteza utu na staa na kwakua mkoa wetu ni miongoni mwa mikoa iliyoathirika na matumizi mabaya ya mitandao sasa nimeamua kuendesha zoezi la kuwakamata Watu wote wanaofanya vitendo hivi vya aibu, zoezi hili litaanza Jumatatu makundi ya mashoga, wanaotuma na kufanya biashara ya ngono mitandaoni na wale wanaojipatia pesa kwa njia ya utapeli", amesema Makonda.



SOURCE:EATV

Samatta amfungisha virago Karius, Besiktas waamua kumrejesha Liverpool walipo mchukua

Baada ya kupokea kipigo cha mabao mawili kutoka kwa nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta kwenye mchezo uliyomalizika kwa 4 – 2 mlindalango Loris Karius sasa kurejeshwa Liverpool. Klabu ya Besiktas imenuia kumrejesha kipa huyo, Karius ambaye yupo hapo kwa mkopo wa miaka miwili akitokea Liverpool na badala yake wakimhitaji Divock Origi. Miamba hiyo ya Uturuki …

The post Samatta amfungisha virago Karius, Besiktas waamua kumrejesha Liverpool walipo mchukua appeared first on Bongo5.com.


Source

Ronaldo afunguka kilichomhamisha Madrid ‘Ningetaka fedha ningezifata China, sababu ni rais wa Madrid’

Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo amesema kuwa aliihama Real Madrid na kujiunga na miamba hiyo ya Italia kwa sababu rais wa klabu hiyo ya Hispania, Florentino Perez hakumfanya ajihisi kuwa mchezaji anayethaminiwa Santiago Bernabeu. Hii picha Ronaldo wakati akiwa Real Madrid Ronaldo mwenye umri wa miaka 33, amesema kuwa Perez alikuwa akimtazama kwenyemahusiano ya kibiashara zaidi na …

The post Ronaldo afunguka kilichomhamisha Madrid ‘Ningetaka fedha ningezifata China, sababu ni rais wa Madrid’ appeared first on Bongo5.com.


Source

Monday, October 29, 2018

Yanga yaipa tahadhari Lipuli FC

Uongozi wa timu ya Yanga umetoa tahadhari kwa wapinzani wao Lipuli FC ya kutoka mkoani Iringa ambao watacheza nao kesho katika Uwanja wa Taifa mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Hussen Nyika amesema kuwa ukubwa wa kikosi cha Yanga unapaswa uheshimiwe na wapinzani kwakuwa kikosi kimejipanga kuhakikisha wanapata pointi tatu.

"Timu yetu ni kubwa, ina uwezo mkubwa wa kushindana hasa kutokana na aina ya wachezaji walio na mbinu ambazo wanapewa, tunaiheshimu Lipuli ila tutahakikisha tunapata matokeo katika mchezo wetu ambao tutakuwa nyumbani," alisema.

Yanga wamecheza michezo nane mpaka sasa kwenye ligi kuu, yote wamecheza katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kesho watakuwa na kibarua cha kucheza na Lipuli FC iliyo chini ya Selemani Matola.
Source

Music Audio: Golden Dee – Nipe Subira

Msanii wa Muziki wa bongo fleva Golden Dee ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Nipe Subira”, Producer Bonga, Studio Beta Sound.      

The post Music Audio: Golden Dee – Nipe Subira appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...