Friday, December 31, 2021

Mvutano wa Ukraine: Putin amwambia Biden vikwazo vipya vinaweza kuvunja uhusiano

Kuwepo kwa wanajeshi hao kumezua wasiwasi katika nchi za Magharibi, huku Marekani ikimtishia Bw Putin kwa vikwazo "kama ambavyo hajawahi kuviona" ikiwa Ukraine itashambuliwa.

Kesho tutakutana na timu ngumu – Kocha Pablo, kuhusu Simba SC Vs Azam 

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC hapo kesho watakuwa na kibarua kizito cha kuwavaa matajiri wa jiji la Dar es Salaam Azam FC kwenye utakaopigwa katika dimba la Mkapa.   Kuelekea mchezo huo Kochha Mkuu wa Mabingwa hao wa Nchi, Pablo Franco amsema kuwa hapo kesho watakutana na timu ngumu hivyo wanahitaji …

The post Kesho tutakutana na timu ngumu – Kocha Pablo, kuhusu Simba SC Vs Azam  appeared first on Bongo5.com.

🔴#LIVE: Dodoma Jiji Wakiwasili Kwa Kishindo Kwa Mkapa, Tayari Kuvaana Na Yanga SC..



The post 🔴#LIVE: Dodoma Jiji Wakiwasili Kwa Kishindo Kwa Mkapa, Tayari Kuvaana Na Yanga SC.. appeared first on Global Publishers.

MUSIC VIDEO: Plan Madini – Niroge

Anaitwa Plan Madini moja kati ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva waliofanya vizuri sana kwenye gemu kwa mwaka 2021. Hapa anakukaribisha ufunge mwaka kwa kutazama video ya wimbo wake mpya wa ‘NIROGE’. Mdundo umegongwa na Java na kufanyiwa mixing na Mr T Touch, Huku video ikiongozwa na Joowzey. Gusa link hapa chini kutazama video …

The post MUSIC VIDEO: Plan Madini – Niroge appeared first on Bongo5.com.

Namungo Watangaza Makocha Wapya

Klabu ya Namungo imetangaza benchi jipya la ufundi la klabu hiyo. Imemtambulisha Hanour Janza ambaye ni raia wa Zambia kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo...

The post Namungo Watangaza Makocha Wapya appeared first on Global Publishers.

Rais wa zamani Afghanistan akanusha kuondoka na mamilioni ya fedha

Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka haraka Kabul wakati Wataliban waliukaribia mji huo mkuu. Ghani amekanusha kuwa kulikuwa na mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea wakati huo ya makubaliano ya kuwachia madaraka kwa amani, kama walivyodai maafisa wa zamani wa Afghanistan na Marekani. Katika mahojiano na shirika la utangazaji la …

The post Rais wa zamani Afghanistan akanusha kuondoka na mamilioni ya fedha appeared first on Bongo5.com.

CCM Wamkomalia Ndugai

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa 'koo' na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida kusema, hakitakubali kuona...

The post CCM Wamkomalia Ndugai appeared first on Global Publishers.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 31, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 31, 2021. Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 31, 2021 appeared first on Global Publishers.

Ibrahim Ajib Asajiliwa Azam FC, Atangazwa Rasmi

KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC.   Ajib...

The post Ibrahim Ajib Asajiliwa Azam FC, Atangazwa Rasmi appeared first on Global Publishers.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...